Thursday, January 26, 2017

DIWANI SAIDI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KUPINGA UKATILI WA WANAWAKE NA WATOTO

 Diwani wa Kata ya Kulungule, Saidi Fella
 Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo akizungumza jambo katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
 Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo akisalimia wananchi na kutambulisha viongozi meza kuu
 Diwani wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo (wa pili kulia) akimkaribisha mgeni Rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kulungule na Mkurugezi wa  Yamoto Bend, Said Fella (wa kwanza kulia) wakati akiwasili katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni yaTunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma ya Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kushoto) akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo. 
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo.
Nyoka
 Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo (wa pili kushoto) akizungumza jambo wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo  na kupata nafasi ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuanzia kulia ni  Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo,  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na kushoto ni Diwani ya Kata ya Kilungule, Said Fella
Mgeni rasmi, Diwani ya Kata ya Kilungule Saidi Fella (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto, wakwanza kulia ni  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na  Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo
Diwani Fella katika picha ya pamoja na kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akisalimiana na Diwani Kata ya Sandali Abel Tarimo
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kulia) akisalimiana na Mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule, Saidi Fella
Kikundi cha wacheza ngoma cha Hisia wakitowa burudani wakati wa hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam
Msanii wa Yamoyo Band akitowa burudani katika hafla hiyo

Wapiga ngoma wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  awa kivutio katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Wananchi wakifuatilia kwa umakini
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  akionyesha umahiri wake katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto

Afisa Msajili Cecilia Nyandindi (kushoto) akiendelea na kusajili wananchi wanaopinga Ukatili wa wanawake na watoto
Baadhi ya wasanii wa Sarakasi wa Kikundi cha Hisia  wakizunguuka mfano wa tairi wakati wa ufunguzi wa hafla ya Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto,

(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Tuesday, January 3, 2017

MAMIA WAMUAGA RUBANI WA MARAIS, MBOWE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Kenan Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4, Makaburi ya Matogoro. (Imeandaliwa na Robert Okanda blogspot) 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard Chamriho akitoa salamu kwa niaba ya serikali wakati wa ibada ya misa na shughuli ya kumuaga marehemu Kenan Paul Mhaiki.
Katibu Mkuu Kiongozi wa zamani, Balozi Ombeni Sefue akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kenani Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam jana. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kwenda Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4 2017.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kenan Mhaiki likitolewa nje ya nyumba kwa ibada ya misa na kuagwa.

Watoto wa marehemu Kenan Mhaiki.

Msomaji wa somo katika ibada hiyo.

Sehemu ya waombolezaji wa shughuli hiyo ya kuaga.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar Mbezi Beach, akimpa ekarist takatifu Mary Mhaiki mjane wa Kenan Mhaiki wakati wa ibada ya kuaga.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) Raymond Musingi akitoa salamu za pole kwa wafiwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Usafiri wa Anga (TCAA) Hanza Johari  akitoa salamu za pole kwa wafiwa.

Mwendesha shughuli hiyo akito mwongozo wa utaratibu wa kuaga.

Mheshimiwa Vita Kawawa akitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Waombolezaji wakimpa mkono wa pole Kaka mkubwa wa Kenan,

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Mjane Mama Mary Kenan (katikati) akifarijiwa na dada na ndugu wa karibu.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar Mbezi Beach, Padri Patrick Kimaro akiaga baada ya kumaliza ibada ya kabla ya misa.

Kaka wa Marehemu Oliver Peter Mhaiki akisoma wosia wa mwisho wa mdogoye Kenan.

Wombolezaji wakijiandaa kwenda kuaga.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Wombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Sehemu ya waombolezaji wakiaga kwa majonzi.

Kaka wa Marehemu Oliver Peter Mhaiki akimuaga mdogoye Kenan.

Watoto wa marehemu Kenan Paul Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba yao wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika makaburi ya Matogoro mkoani humo Januari 4 2017.

Sehemu ya watoto wa marehemu Kenan Paul Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba yao wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika makaburi ya Matogoro mkoani humo Januari 4 2017

Mjane mama Mary Kenan akiaga.

Mjane mama Mary Kenan (kulia) akifarijiwa na dadake.

Viongozi mbalimbali wa sasa na wastaafu wakiwa katika shughuli ya kuaga.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar Mbezi Beach,Padri Patrick Kimaro akitoa mahubiri wakati wa ibada ya kabla ya kuaga.

Wanakwaya ya Mtakatifu Gaspar wakiimba nyimbo za maobolezo katika ibada ya kuaga.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar Mbezi Beach,Padri Patrick Kimaro akiongoza ibada ya misa kabla ya shughuli ya kuaga.

Watoto wa marehemu Kenan Paul Mhaiki wakiongoza msafara wa kuutoa mwili wa baba yao nje ya nyumba tayari kwa ibada na shughuli ya kuaga.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar wa Bufalo Mbezi Beach, Padri Patrick Kimaro akibariki jeneza lenye mwili wa marehemu wakati wa kuanza kwa ibada ya misa ya kumwombea marehemu Kenan Mhaiki.

Sehemu ya waombolezaji wakifuatilia ibada wakati wa shughuli ya kuaga.

Sehemu ya waombolezaji wakifuatilia ibada wakati wa shughuli ya kuaga.

Sehemu ya waombolezaji wakifuatilia ibada wakati wa shughuli ya kuaga.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akisaininkiatbu cha maombolezo alipowasili nyumbani kwa marehemu Kenan Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akilakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha CCK, Constatine Akitanda (kulia) alipokwenda kwenye ibada na shuguli ya kuaga mwili wa marehemu Kenan Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017.

Sehemu ya waombolezaji wa shughuli hiyo ya kuaga.

Mmoja wa waombolezaji akisaini kitabu cha maombolezo.

Sehemu ya waombolezaji wa shughuli hiyo ya kuaga.

Sehemu ya waombolezaji wa shughuli hiyo ya kuaga.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi wastaafu baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Kenan Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017

Mkuu wa Chuo Taifa cha Usafirishaji, Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa (kulia) akimpa mkono wa pole Oliver Paul Mhaiki kaka mkubwa wa Kenan Mhaiki.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Nchini, Leodegar Tenga (kulia) akimpa mkono wa pole Oliver Paul Mhaiki kaka mkubwa wa Kenan Mhaiki.

Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa baada ya kupoteza fahamu alipomaliza kuaga.