Mchungaji
Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza
ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89). Mazishi
yamefanyika hii leo katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime.
Na BMG

Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu

Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada

Viongozi wa dini wakiweka mashada

Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89), enzi za uhai wake. Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!
No comments:
Post a Comment