Kanaeli Urio, asheherehekea siku yake ya kuzaliwa leo nyumbani kwake Kigamboni
Mungu mzidishie maisha mema kiumbe wako huyu, Kanaeli Urio (kushoto) ni
Mama mwenye kuijali familia yake na kuwa na hazina ya upendo kwa kila rika
mama mwenye silaha
kubwa ya upendo utakao muweka katika ramani ya ubinadamu na kauli
njema, niwazi Mmiliki wa ujijirahaa blog anaungana nawe katika
kusheherehekea siku ya kuzaliwa na kuzidi kutowa pongezi
kwa wako wazazi walokuzaa na kukulea vyema na kufikia hapo ulipo, Dua
sala kwa maombi kuzidi kuwaombea popote walipo wazazi wako sambamba na
Mr , ukarimu uwe jadi yako kwa kila rika. (Amiin) (PICHA NA KHAMISI MUSSA)