Wednesday, March 29, 2017

ASHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA LEO

 

 Kanaeli Urio, asheherehekea siku yake ya kuzaliwa leo nyumbani kwake Kigamboni
 

Mungu mzidishie maisha mema kiumbe wako huyu, Kanaeli Urio (kushoto) ni
 Mama mwenye kuijali familia yake na kuwa na hazina ya upendo kwa kila rika
mama mwenye silaha kubwa ya upendo  utakao muweka katika ramani ya ubinadamu na kauli njema,  niwazi Mmiliki wa ujijirahaa blog anaungana nawe katika kusheherehekea siku ya kuzaliwa na kuzidi kutowa  pongezi kwa wako wazazi walokuzaa na kukulea vyema na kufikia hapo ulipo, Dua sala kwa maombi kuzidi kuwaombea popote walipo wazazi wako sambamba na Mr , ukarimu uwe jadi yako kwa kila rika. (Amiin) (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment