Mkuu wa Idara ya Biashara na Mlezi
wa Wanafunzi wa Sekondari ya Tambaza, Abdul aziz Said akizungumza na
Wazazi na wahitimu wa shule hiyo wakati wa Mahafali ya Elimu ya Dini
ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita katika hafla iliyofanyika
Shule hapo Dar es Salaam jana. kulia ni Amiri wa Daawah Msikiti wa
Tambaza, Sayed Qadry. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa
ujijirahaa blog.
Mwanafunzi wa Kidato cha Sita, Maulidi Kassanga akisheherehesha kwa kusoma tenzi katika Mahafali hayo Dar es Salaam jana
Wahitimu wakiwa katika utulivu wakisikiliza kwa umakini
Wazazi na ndugu wakifatilia kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo
Baadhi ya Wanafunzi hao
Naib Imamu Msikiti wa Maamur, Haroub
Khamis (kushoto) akizungumza jambo wakati wa hafla ya Mahafali ya Dini
ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita yaliyofanyika Shule hapo Dar
es Salaam jana ambapo wanafuzi hao wanajiandaa kufanya mitihani ya
kumaliza kidato cha Sita
Wanafunzi
Mgeni rasmi katika mahafali hayo,
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi,
Hajati. Joha Simba (mwenye mtandio mweusi kichwani) akifatilia kwa
umakini na wakwanza kushoto ni Mwalimu wa shule hiyo, Zuhura Gajo
Mwalimu , Zuhura Gajo akipokea
risala kutoka kwa muhitimu, Juma Kassim baada ya kuisoma na kukabidhiwa
mgeni rasmi katika mahafali hayo, ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi, Hajati. Joha Simba (kulia)
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi, Hajati. Joha Simba (kulia)
akimkabidhi cheti mwanafunzi, Tausi Mohammed wakati wa hafla ya Mahafali
ya Dini ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita
yaliyofanyika Shule hapo Dar es Salaam jana ambapo wanafuzi hao
wanajiandaa kufanya mitihani ya kumaliza kidato cha Sita
Wanafunzi hao wakiomba Dua wakati walipokuwa wakimaliza mahafali hayo Dar es Salaam jana
Amiri wa Daawah Msikiti wa Tambaza,
Sayed Qadry (kulia) akizungumza na Wazazi na wanafunzi wakati wa
Mahafali ya Dini ya Kiislamu katika Shule ya Sekondari ya Tambaza
yaliyofanyika Dar es Salaam jana, kushoto ni Mkuu wa Idara ya Biashara
na Mlezi wa Wanafunzi wa Sekondari hiyo, Abdul aziz Said
Rajab Kassim (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake mara baada ya kumalizika mahafali hayo Dar es Salaam jana |
Rajab Kassim, (wa pili kushoto) wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumalizika mahafali hayo jana |
No comments:
Post a Comment