Mkurugenzi
Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa. Lawrence Museru alianza
kwa Kumshukuru Mungu sana sana sana na kusema, nduguzangu nawashukuru
sana,ila nitakuwa sina mengi ya kusema ila napenda kutoa shukrani zangu
kwa waandaaji wa sherehe hii kwa kunikaribisha kuwa nanyie hapa,
aliendelea kusema.
Nimefarijika
kuwa kukutana hapa tukiwa nje ya kazi zetu kwa pamoja tukiwa wazima na
mkaona mnikaribishe ili nijumuike nanyie nasema asanteni sana ila leo si
siku ya kuongea leo ni siku ya kufurahi ila sababu mmenikaribisha
nikiwa kama kiongozi wenu naomba niseme mawili matatu.
Niseme
kwamba Tunatambua nafasi ya Wauguzi katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili, sisi kama viongozi wenu tunatambua umuhimu wa Wauguzi pale
tunapotoa huduma pia tunatambua changamoto ninyingi katika utoaji huduma
wenu na kwamba kunamambo mengi sana mngependa yafanyiwe kazi ili
kusudi muweze kutoa huduma inavyotakiwa na kwanamna moja au nyinyingine
hatujaweza kutatua.
Lakini
mmeendelea kutoa huduma kwa nguvu kabisa na ufasaha mkubwa sana alisema
Museru.Tunaposikia Muhimbili sasa wanatoa huduma nzuri na ambayo watu
wanaridhiakanayo ni kwasababu ya Wauguzi wanatekeleza wajibu wao na
ningependa kuwaomba na kuwasihi kuendelea kutoa huduma kama ambavyo
kiapo chenu kinavyo elekeza na wengiwetu tunatoa huduma kama
inavyotakiwa kutolewa, alisema Museru
Ndio
maana sisi kama viongozi kwa kiasi kikubwa sana tunajitajitahidi
kutatua matatizo yanayo wakabili ninyi katika utoaji huduma kama
matatizo ya vitendea kazi, matatizo ya mazingira yenu mnayotolea huduma
pia na matatizo ya stahiki zenu, na mimi pamoja na Mkurugenzi wa Uuguzi
pamoja na viongozi wengine tumekuwa tukipigania na kuhakikisha Muuguzi
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili anapata stahiki inayostahili katika
utoaji huduma.
Kuna
ambayo tumefanikiwa na mengine hatujafanikiwa ila tunajitahidi kadiri
ya uwezo wetu na kuhakikisha Muhudumu na Muuguzi wa Hospitali ya taifa
Muhimbili anapata stahiki yake anayostaili, sasa mimi niwaombe sisi
sote.
Paletunapotoa huduma tuhakikishe tunatoa huduma kama inavyo takiwa na
tuhakikishe tunatatua kero za wateja wetu ambao ni wagojwa na
kuhakikisha wanahudumiwa ipasavyo na kutoa wito kwa wale wachache
kwani kwenye mazuri hapawezi kukosa doa alisema mseru.
Tujaribu
kuwarekebisha sisi tunao fanyanao kazi na viongozi tunao wasimamia
ilikusudi wale wachache wanao chafua jina la Wauguzi wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili wazidi kupungua na mwishowe wote waishe na tutoe huduma
inayokubalika.
Nimefurahi sana kuwaona ndugu zetu wa Kyuba, naona sasa wanaongea kiswahili kwani nilikuwa na bahati ya kwenda kule kwao wakati tulipokuwa tukitafuta watu wakuja fanyanao kazi na kama mnavyo waona ndivyo walivyo na wengine tunafanana nao na kunawengine ni tofauti na sisi kwa rangi
Ila
niseme hawa ndugu zetu tutakaanao kwa miaka miwili au tunaweza kukaanao
zaidi na ninawaomba muwakubali sehemu ambazo tunazofanyanao kazi,
tujifunze hasa jinsi wanavyotoa huduma na wao kama kunachakujifunza
tuwafundishe alisema
Museru.
Nduguzangu ninafuraha kwa
kuuaga mwaka wa 2017 na kuukaribisha mwaka 2018, tukiwa wote na tunapo ingia mwaka huu niwapongeze kwa kuiweka Hospitali ya Taifa katika ramani. Hospitali ya Taifa Muhimbili ni Hospitali kongwe hapa nchini kama jina linavyo jieleza na tuhakikishe malengo hayo tunayafikia
kuuaga mwaka wa 2017 na kuukaribisha mwaka 2018, tukiwa wote na tunapo ingia mwaka huu niwapongeze kwa kuiweka Hospitali ya Taifa katika ramani. Hospitali ya Taifa Muhimbili ni Hospitali kongwe hapa nchini kama jina linavyo jieleza na tuhakikishe malengo hayo tunayafikia
Mwakajana tulifanikisha kutoa huduma ambazo zilikuwa zikitolewa nje ya nchi na sasa zinafanya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tunapo ingia mwaka huu wa 2018 niwaombe kama mlivyosema
katika risala naomba tuzidi kuipaisha na kuiweka katika ramani ya ulimwengu Hospitali ya Tafa Muhimbili na nipende kuwashukuru kwa ushirikiano wenu na asanteni sana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wauguzi wakifurahia baada ya kuwashinda wanaume katika mchezo wa kuvuta kamba
Wauguzi wakicheza karata ufukweni mwa Bahari ya Hindi Ununio
Afisa Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili akiruka kamba ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Ununio
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakicheza mpira
Mmoja wa mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akiogelea ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Ununio Dar es Salaam
Afisa Muuguzi Hospiatali ya Taifa, Halima Mayumana akiudaka mpira wakati wa Sherehe ya kurugenzi ya Uuguzi na
Ukunga ya kuuaga mwaka 2017 na kuupokea mwaka wa 2018 iliyofanyika Ukumbi wa Ukumbi wa Pink Diamond Bahari Beach Dar es Salaam.
Afisa Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akicheza mchezo wa kuruka kamba ufukweni
mwa Bahari ya Hindi eneo la Ununio Dar es Salaam
Afisa
Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Maandalizi, Petro Jilatu akiwapongeza Wauguzi zaidi ya mia mbili katika
kufanikisha Sherehe hiyo sambamba na Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar
kwani Sherehe yetu ni kucheza michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba,
kuogelea na kucheza karata, yote hayo nikatika kuhakikisha
tunabadilishana mawazo kwani katika sherehe hii kutakuwa na wakurugenzi
zaidi ya watano akiwemo Mkurugenzi Mtendaji Profesa. Lawrence Museru na
Mkurugenzi wa Uuguzi Bi, Agnes Mtawa. Sherehe iliyofanyika 12 Januari
2018, katika Ukumbi wa Pink Diamond Beach Dar es Salaam
Baadhi ya Wauguzi katika pozi ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Ununio
Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea
Mkurugenzi
wa Kurugenzi ya Uuguzi na Ukunga Bi Angnes Mtawa alianza kwa kumshukuru
Mungu na kuwashukuru wote walioshiriki katika kujitoa kwa kufanikisha
sherehe japo vipato vyetu si vidogo
lakini mmeweza kufanikisha sherehe hii na tumejitoa na pale mlipotoa Mungu akapajaze mara miamoja.Mkurugenzi Mtawa alisema, nawashukuru kwa ushirikiano kwa sababu tupo hapa kada
mbalimbali na leo hatuzungumzi huyu nani wala huyu nani bali tunazungumza wote tupochini ya Kurugenzi ya Uuguzi na Ukunga kwahiyo nawashukuruni sana na ninawapongezeni sana na baada
ya kuyasema hayo nawaombeeni baraka teleteletele kwa Mungu, tuendelee kutenda mema na kutoa huduma kwa bidii na kubarikiwa katika mwaka 2018, uwe mwaka wa mafanikio asanteni kwa kunisikiliza.
lakini mmeweza kufanikisha sherehe hii na tumejitoa na pale mlipotoa Mungu akapajaze mara miamoja.Mkurugenzi Mtawa alisema, nawashukuru kwa ushirikiano kwa sababu tupo hapa kada
mbalimbali na leo hatuzungumzi huyu nani wala huyu nani bali tunazungumza wote tupochini ya Kurugenzi ya Uuguzi na Ukunga kwahiyo nawashukuruni sana na ninawapongezeni sana na baada
ya kuyasema hayo nawaombeeni baraka teleteletele kwa Mungu, tuendelee kutenda mema na kutoa huduma kwa bidii na kubarikiwa katika mwaka 2018, uwe mwaka wa mafanikio asanteni kwa kunisikiliza.
Wauguzi wakibadilishana mawazo
Wauguzi (katikati) wakisalimiana wengine wakishuhudia
Wauguzi wakichangamsha viungo kwa kucheza
Wauguzi kwa umoja wao wakimuingiza Ukumbini Mwenyekiti wakamati ya Sherehe hiyo, Segla Mgaya (wa nne kulia)
Mkuu
wa Idara Uuguzi na Mazingira wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Zuhura
Mawona (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja na viongozi wa vitengo
mbali mbali katika Hospitali hiyo
Afisa
Muuguzi, Kalunde Shabani akiwapatia wauguzi wenzake keki baada ya
kuikata katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na Sherehe ya
wauguzi iliyofanyika Ukumbi wa Pink Diamond Bahari Beach .
Kipekee
tunachukua nafasi hii kukupongeza kwa juhudi zako kubwa unazozifanya
kuipaisha Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuiweka katika ramani ya
ulimwengu, Sisi tunakuahidi kukupa ushirikiano wetu wa hali na mali ili
kuhakikisha malengo ya Hospitali yetu yanafikiwa, Hayo yalisemwa na
Muuguzi wa Hospitali hiyo wakati akisoma risala, Kalunde Shabani,ambapo
aliendelea kusema,Ndugu mgeni rasmi mbele yako kunawafanyakazi wa
Hospitali ya Taifa Muhimbili katika kada mbalimbali ikiwemo kada ya
Uuguzi, Wahudumu wa afya wasaidizi, Ustawi wa jamii, Nutrition ambapo
hawa ni wawakilishi, kwani inabidi huduma ziendeleekutolewa.Ndugu mgeni
rasmi tumeungana kwa pamoja ilikufanikisha sherehe hii tukiwa na
madhumuni ya kuchangamsha akili kwa kubadilishana mawazo na kubadilisha
mazingira kutokana kazi kubwa iliyopo mbele yetu ya kutoa huduma kwa
wagonjwa na jamii yetu.ndugu mgeni rasmii iliundwa kamati iliyojumuisha
wajumbe kutoka kila jengo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo
kamati hii ilianza vikao vya mandalizi mara moja.vikao vilianza rasmi
chini ya uongozi wa Mwenyekiti, Segla Mgaya,ambapo wajumbe wote
walifanya mandalizi ya sherehe hii kwa weledi waao kwa kujitolea kwa
hali na mali.Ndugu mgeni rasmi sherehe hii imewezeshwa na wafanyakazi
pomoja na baadhi ya wafadhili ambao ni Mobisol na Anchor desing katika
kufanikisha sherehe hii.Ndugu mgeni ramii pamoja na mafanikio ya sherehe
kulikuwa na changamoto chache wakati wa maandalizi kama vile;
mawasiliano hafifu baina yetu
na kutoa mapendekezo wa uhamasishaji wa taarifa na ifahamike sherehe hii ni ya wafanyakazi wote waliopo chini ya kurugenzi Uuguzi na Ukunga na mwisho nikushukuru wewe kwa kukubali mwaliko wetu na tumefarijika sana kuwa nasi katika sherehe hii
na kuwashukuru wageni waalikwa na wadau mbalimbali.
na kutoa mapendekezo wa uhamasishaji wa taarifa na ifahamike sherehe hii ni ya wafanyakazi wote waliopo chini ya kurugenzi Uuguzi na Ukunga na mwisho nikushukuru wewe kwa kukubali mwaliko wetu na tumefarijika sana kuwa nasi katika sherehe hii
na kuwashukuru wageni waalikwa na wadau mbalimbali.
Afisa Muuguzi, Kalunde Shabani (katikati) akimlisha kipande cha keki Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa, Lawrence Museru katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na Sherehe ya wauguzi iliyofanyika Ukumbi wa Pink Diamond Bahari Beach
Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili profesa, Lawrence Museru (wa tatu kulia waliokaa) akipata picha ya pamoja na viongozi wa vitengo mbalimbali wa Hospitali hiyo
Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili profesa, Lawrence Museru (wa pili kushoto waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi na wauguzi wa Hospitali hiyo
Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili profesa, Lawrence Museru (wa pili kushoto walio kaa) na Wakuu wa Vitengo mbalimbali wa Hospitali hiyo wakipata picha ya pamoja
Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili profesa, Lawrence Museru (katikati) akipata picha ya pamoja na Wauguzi na wakuu wa vitengo mbalimbali wa Hospitali hiyo
Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili profesa, Lawrence Museru (wa pili kushoto), katika picha ya pamoja na Wauguzi wa Hospitali hiyo ambao wanatoka Kyuba
Afisa
Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili, Wilson Lomnyaki (wakwanza
kushoto) akimkabidhi Zawadi Mkurugezi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa
Muhimbili profesa, Lawrence Museru iliyoandaliwa na kamati ya Sherehe
hiyo na kulia ni Mhasibu wa Kamati ya Sherehe hiyo, Matilda Mrina
akimkabidhi zawadi, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Uuguzi na Ukunga Bi Angnes Mtawa
Mkuu wa Jengo la Magonjwa ya nje, Juni Samweli (kulia) akifurahia jambo wakati wa Sherehe hiyo